Hizi shule zimenifurahisha sana kwa kuingia kwenye Top 10..hii inaonyesha shule za serikali nazo bado zimo pamoja na kufundishwa kwenye Mazingira Magumu na ukosefu wa walimu.
hata Kahororo Secondari ya Bukoba, naipongeza sana kwa kiwango cha ufaulu mwaka 2011(div I-16, div II-16, div III-18, div IV-23 na O-1) kwakweli si haba: ki-Mkoa imeshika namba 2 ikitanguliwa na Rubya Seminary na kitaifa hiko nafasi nzuri..