Hongera Kidunda Ila Umetuaibisha Kwenye Wimbo wa Taifa

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,035
Reaction score
8,218
Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,.
Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli
Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
 
Nidhamu ilikuwa ndogo
Hakuwa mtulivu
Hafahamu beti za wimbo wa Taifa
 
Jeshi letu linapoteza muelekeo kwa Kasi kubwa Sana. Limekuwa sehemu ya waliofeli. Bangi.
 
Kwanza hata sielewi kashinda vipi alikuwa anaruka ruka tu
Kashinda kimahesabu ,kaongoza kwa points hadi round ya 7,baada ya hapo ndo akaanza kuruka ruka ile asipigwe kwa knoutout maana kwenye round 10 alishampita mpinzani kwa round 7
 
Ila kiuhalisia katompa yuko vizuri kuliko kidunda
 
Mkuu huo uzuri unouona ndo mimi siuelewi au vipi ? Boxing sio mchezo wa nguvu tu unahitaji akili nyingi na hicho ndicho kidunda alimzidi Katompa .
Boxer's wa sasa hivi ni wajanja anahesabu rounds kadhaa akiona amekuwin anaanza kuruka ruka kama alivyofanya kidunda .
Sasa ubaya watanzania walitaka waone kidunda anashambulia muda wote wakati baada ya round ya sita akajua ashashinda ikabiďi acheze kwa tahadhari asije kujichanganya akapigwa KO.
 
Kashinda kimahesabu ,kaongoza kwa points hadi round ya 7,baada ya hapo ndo akaanza kuruka ruka ile asipigwe kwa knoutout maana kwenye round 10 alishampita mpinzani kwa round 7
Watu wengi mbinu za ngumi hawajui na hapa ndo kilimponza Tonny Rashid alipocheza na Mahlangu pambano la kwanza .
Licha ya kuongoza round zote akataka ang'!ang'anize KO ,kilichotokea watu wote tukamuona hana akili kwa kutafuta sifa ambazo zilimgharimu.

Tena tusisahau ngumi moja tu inaweza kukudondosha na usiinuke tena . Uongozi wote uliokuwa nao unakuwa hauna maana tena . Sasa kwanini urisk ushindi ambao umeshakuwa nao kwaajili ya Sifa tu
 
Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,.
Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli
Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
Ni overpressure tu kama umefatilia utagundua akili yake ilikuwa kwa ajili ya mchezo tu halafu ukumbuke anaekutana alikuwa sio bondia wakubeza na alishaonja joto lake.
 
Mchizi wangu mandonga kaniangusha sana.
images%20(8).jpg
 
Katompa ni bondia alokamilika Sana ....
Ni kweli lakini kwa technique bado mana kapigwa kwa technique pambano la jana kalazimishwa kucheza mchezo ambao si wake. Kumbuka kuwa wote ni puncher fighters ila kidunda aliamua kutumia urefu kwa kuwa outfigher kwa kumpiga snap jab nyingi with counter combination zilizomfanya katompa kutomfikia kidunda kw wepesi. Hili pambano halina tofauti na lile la andy ruiz na anthony joshua. Ogopa sana uwe puncher kisha ukutane na mpinzani ambae ni puncher pia lakini amekuzidi speed na nguvu, speed uzaa counter punching you'll schooled how to snitch the fight taka usitake kama anthony joshua tangu akutane na yule andy ruiz ameswitch sana amekuwa si yule wa zamani tena wakati andy ruiz amezidi kuongeza kasi zaidi tazama fight yake ya mwisho na chris arreolla.
 
Umenena kweli
 
Back
Top Bottom