evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Nidhamu ilikuwa ndogoHuyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,.
Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli
Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
Kwanza hata sielewi kashinda vipi alikuwa anaruka ruka tu
Sahihi kabisa nafikiri aliingia na overconfidence au Kidunda ameimarika zaidi.Katompa ni bondia alokamilika Sana ....
Pambano lipo mbele yako halafu uwe na akili ya kupanga beti za wimbo wa Taifa ujue siyo ndondi.Nidhamu ilikuwa ndogo
Hakuwa mtulivu
Hafahamu beti za wimbo wa Taifa
Kashinda kimahesabu ,kaongoza kwa points hadi round ya 7,baada ya hapo ndo akaanza kuruka ruka ile asipigwe kwa knoutout maana kwenye round 10 alishampita mpinzani kwa round 7Kwanza hata sielewi kashinda vipi alikuwa anaruka ruka tu
Ila kiuhalisia katompa yuko vizuri kuliko kidundaKashinda kimahesabu ,kaongoza kwa points hadi round ya 7,baada ya hapo ndo akaanza kuruka ruka ile asipigwe kwa knoutout maana kwenye round 10 alishampita mpinzani kwa round 7
Mkuu huo uzuri unouona ndo mimi siuelewi au vipi ? Boxing sio mchezo wa nguvu tu unahitaji akili nyingi na hicho ndicho kidunda alimzidi Katompa .Ila kiuhalisia katompa yuko vizuri kuliko kidunda
Kumbuka ni WIMBO WA TAIFA sio kidukuPambano lipo mbele yako halafu uwe na akili ya kupanga beti za wimbo wa Taifa ujue siyo ndondi.
Binafsi nasema yupo sawa.
Watu wengi mbinu za ngumi hawajui na hapa ndo kilimponza Tonny Rashid alipocheza na Mahlangu pambano la kwanza .Kashinda kimahesabu ,kaongoza kwa points hadi round ya 7,baada ya hapo ndo akaanza kuruka ruka ile asipigwe kwa knoutout maana kwenye round 10 alishampita mpinzani kwa round 7
Ni overpressure tu kama umefatilia utagundua akili yake ilikuwa kwa ajili ya mchezo tu halafu ukumbuke anaekutana alikuwa sio bondia wakubeza na alishaonja joto lake.Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,.
Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli
Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
Ni kweli lakini kwa technique bado mana kapigwa kwa technique pambano la jana kalazimishwa kucheza mchezo ambao si wake. Kumbuka kuwa wote ni puncher fighters ila kidunda aliamua kutumia urefu kwa kuwa outfigher kwa kumpiga snap jab nyingi with counter combination zilizomfanya katompa kutomfikia kidunda kw wepesi. Hili pambano halina tofauti na lile la andy ruiz na anthony joshua. Ogopa sana uwe puncher kisha ukutane na mpinzani ambae ni puncher pia lakini amekuzidi speed na nguvu, speed uzaa counter punching you'll schooled how to snitch the fight taka usitake kama anthony joshua tangu akutane na yule andy ruiz ameswitch sana amekuwa si yule wa zamani tena wakati andy ruiz amezidi kuongeza kasi zaidi tazama fight yake ya mwisho na chris arreolla.Katompa ni bondia alokamilika Sana ....
Umenena kweliNi kweli lakini kwa technique bado mana kapigwa kwa technique pambano la jana kalazimishwa kucheza mchezo ambao si wake. Kumbuka kuwa wote ni puncher fighters ila kidunda aliamua kutumia urefu kwa kuwa outfigher kwa kumpiga snap jab nyingi with counter combination zilizomfanya katompa kutomfikia kidunda kw wepesi. Hili pambano halina tofauti na lile la andy ruiz na anthony joshua. Ogopa sana uwe puncher kisha ukutane na mpinzani ambae ni puncher pia lakini amekuzidi speed na nguvu, speed uzaa counter punching you'll schooled how to snitch the fight taka usitake kama anthony joshua tangu akutane na yule andy ruiz ameswitch sana amekuwa si yule wa zamani tena wakati andy ruiz amezidi kuongeza kasi zaidi tazama fight yake ya mwisho na chris arreolla.
Kwanza hata sielewi kashinda vipi alikuwa anaruka ruka tu