Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Hatimaye Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limempatia mkataba wa miaka mitatu Kocha Mkwasa kuinoa Taifa Stars. Mkwasa atakuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars baada ya kuwa wa muda kwa miezi mitatu.
Najitokeza kumpongeza Kocha Mkwassa kwa kupatiwa mkataba. Tanzania inamwamini Kocha Mkwassa. Tunaweka silaha zetu chini...!
Najitokeza kumpongeza Kocha Mkwassa kwa kupatiwa mkataba. Tanzania inamwamini Kocha Mkwassa. Tunaweka silaha zetu chini...!