Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Vipi ataendelea kuwa yanga...
Kila lenye Heri Charls Mkwasa,namkumbuka Mzirai hope wangeshirikiana
Wangevunja mkataba wake na Yanga kwanza, kocha anakuwa busy na Yanga hapati fursa za kutembea kuangalia vipaji vipya. Ndio maana walioitwa ni yanga, azam, mtibwa na simba kwa mbalii. Sio kama timu nyingine hazina vipaji but hajapata muda wa kuwaona. Nadhani tff watashughulikia hilo swala