N Ninaweza Platinum Member Joined Dec 14, 2010 Posts 15,168 Reaction score 11,024 Dec 11, 2025 #21 The mission 2017 said: Utekaji na Ukandamizaji utazidi. Pona pona Yako ni kufumba mdomo Click to expand... Hata aliyefunga mdomo hayupo salama. Kuna ile ya kuwa mislabeled then unapotezwa. Mahakama zitumike kwa uhuru.
The mission 2017 said: Utekaji na Ukandamizaji utazidi. Pona pona Yako ni kufumba mdomo Click to expand... Hata aliyefunga mdomo hayupo salama. Kuna ile ya kuwa mislabeled then unapotezwa. Mahakama zitumike kwa uhuru.
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,705 Reaction score 30,041 Dec 11, 2025 #22 Bhikalamba said: Ondoa picha na jina la Bey wa heshima aliyetetea haki na kupigana vita vitakatifu. Siyo wewe ***** la Lumumba linalongozwa na uchawa Click to expand... dawa itawaingia tu mdogo mdogo
Bhikalamba said: Ondoa picha na jina la Bey wa heshima aliyetetea haki na kupigana vita vitakatifu. Siyo wewe ***** la Lumumba linalongozwa na uchawa Click to expand... dawa itawaingia tu mdogo mdogo