Hongera kwa mama kuiwezesha Taifa Stars kufungwa magoli machache

Mama alikuwa anacheza beki au kiungo mkabaji?
 
Kwa kweli bila mama jana ilikuwa tunakufa nyingi ila mama kasaidi tumefungwa chache, nani kama mama.

View attachment 2821313
yule dogo kipa, anajitahidi. tuendelee kumtumia, ila jana kocha ambaye ni mmoroko alipanga kikosi ambacho hakitaisumbua nchi yake ya moroko. tuwe wakweli. unaanzaje kikosi na yule mnyakyusa aliyejifunga goli la pili, ukaacha samata na msuva? mabeki kama shabalala na kapombe, hata boko angecheza jana sio mbaya. wamepanga watoto watupu kwenye mchazo muhimu?
 
Yule dogo ni mwenyekiti wa uvccm mkoa wa Iringa
 
Hiyo Taifa Stars hata ikodiwe rocket ikafanye mazoezi mwezini, ni bure tu.
 
hata ivo tulishawahi kuwachapa Morocco 3-1 na bado hawajaivunja hiyo record. Ni wateja wetu kisoka, wanacheza mpira wa kawaida sana, na kwakweli tumewazidi vitu vingi tu, japo kwa kisi walituzidi mbinu za mchezo husika.

Wanafungika na mechi ijayo hawana pakutokea. watakiona cha moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…