Labda ndo kaona leoKwani hiyo si ndio kazi yake ktk kipindi cha 7-7 na 8-8?
kipindi hicho kinatuhusu nini wote?Mwandishi huyu ameanzisha vipindi vya mfululizo kwenye maonyesho ya sabasaba,kipindi hicho kinarushwa TBC 1, kuanzia saa 21:15Pm.
Wito wangu kwenu,tumpeni ushirikiano
Mwenzio yupo kazini analipwaMwandishi huyu ameanzisha vipindi vya mfululizo kwenye maonyesho ya sabasaba,kipindi hicho kinarushwa TBC 1, kuanzia saa 21:15Pm.
Wito wangu kwenu,tumpeni ushirikiano
Kwani hiyo si ndio kazi yake ktk kipindi cha 7-7 na 8-8?
Ushirikiano upiMwandishi huyu ameanzisha vipindi vya mfululizo kwenye maonyesho ya sabasaba,kipindi hicho kinarushwa TBC 1, kuanzia saa 21:15Pm.
Wito wangu kwenu,tumpeni ushirikiano
Mtu wa ajabu kabisa, kazi yake inatuhudu ninikipindi hicho kinatuhusu nini wote?
Yawezekana ni mtoto huyu, ndiyo kwanza amebalehe na kuanza kufuatilia mambo. Hivyo mpeni majibu ili ajue. Aiyo kila MTU ni mhenga.Kwani hiyo si ndio kazi yake ktk kipindi cha 7-7 na 8-8?
Kalogwa na nani ? kuweka vipindi TBC anataka waangalie akina nani ?Mwandishi huyu ameanzisha vipindi vya mfululizo kwenye maonyesho ya sabasaba,kipindi hicho kinarushwa TBC 1, kuanzia saa 21:15Pm.
Wito wangu kwenu,tumpeni ushirikiano