Hongera kwa Uhuru Kenyatta kwa kuruhusu Mkutano wa CORD

Hongera kwa Uhuru Kenyatta kwa kuruhusu Mkutano wa CORD

Andrew Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2008
Posts
3,007
Reaction score
2,451
Rais Uhuru anastahili kupongezwa kwa kuruhusu ile rally ifanyike.Pongezi kwa kiasi kikubwa zinasathili kwenda kwake,kwa sababu angeweza kuzuia angetaka.
Kenya wameonyesha kwa nini wanaitwa watu wenye IQ kubwa.
 
My friend, that right is enshrined in the constitution. Kenya is not a dictatorship. No entity can revoke or regulate that right.
 
This is not about Uhuru, it is the constitution. He had to.
 
My friend, that right is enshrined in the constitution. Kenya is not a dictatorship. No entity can revoke or regulate that right.

Ha ha haa......My friend you don't know who you are talking to? I can bet my whole pension he doesn't know a thing about Kenyan constitution....just a "big name" he is!
 
Yule majority leader katika Bunge,yule Adam alisema,'Kenyatta akiruhusu huu mkutano wa CORD, I will resign''. Kwa hiyo,there was confusion,and decisions had to be made.
 
Rais Uhuru anastahili kupongezwa kwa kuruhusu ile rally ifanyike.Pongezi kwa kiasi kikubwa zinasathili kwenda kwake,kwa sababu angeweza kuzuia angetaka.
Kenya wameonyesha kwa nini wanaitwa watu wenye IQ kubwa.

Bado una hangover ya enzi za DICTATORSHIP; siku hizi haki za wananchi are enshrined in constitutions za wananchi na ndio maana waTanzania wanalilia katiba yenye kulinda maslahi yao na sio ya watawala!!
 
Yule majority leader katika Bunge,yule Adam alisema,'Kenyatta akiruhusu huu mkutano wa CORD, I will resign''. Kwa hiyo,there was confusion,and decisions had to be made.

Heshima mbele Kamanda,

Kumbuka kitu kinachoitwa KATIBA. That is key...it doesnt matter nani kasema nini maana Kenya katiba nd'o
inatawala sio kauli za watu....hususan wanasiasa. Kenya ngoma inapigwa tofauti kabisa na ile iliopo Bongo.

Pamoja.
 
Bado una hangover ya enzi za DICTATORSHIP; siku hizi haki za wananchi are enshrined in constitutions za wananchi na ndio maana waTanzania wanalilia katiba yenye kulinda maslahi yao na sio ya watawala!!

Nimecheka hapa kazini we acha tu aisee!!
 
Ha ha haa......My friend you don't know who you are talking to? I can bet my whole pension he doesn't know a thing about Kenyan constitution....just a "big name" he is!

Wewe sasa ni mshari...hehehe!...mpaka umtaje mwanae naniliu bwanaa...hahahaha!..Huyo ni verified user, kem achana
nae basi.
 
I am glad everybody seems to agree the new constitution is being respected and working.

Dont conflate a right enshrined in the constitution with your agenda, which is to glorify your your tribesman on this forum!
 
Dont conflate a right enshrined in the constitution with your agenda, which is to glorify your your tribesman on this forum!

My tribesman allowed the constitution to take its course and hence your tribesman managed to pull through a Sabasaba.
 
Haha kenya u showed how the way democracy is ...not like in tz..!!!here ata ukitaka kufanya mkutano binafsi chama tawala inaonaa inataka kube overthrown over power...hongeraa sana kwenu wadau
 
Is 'your tribesmen' supposed to be some sort of an insult?
 
are we nuturing thieves like atwoli? they have robbed the poor's pension . wazee wanaendelea kuirudisha kenya miaka kadha nyuma
 
Wewe Andrew Nyerere bado una mawazo mgando na ya kizamani...Hivi unafikiri ni suala la Uhuru kama Rais wa Kenya ndio mwenye haki na mamlaka ya kuruhusu ama kukataa kutoa haki kama ya maandamano? Unaishi dunia gani bwana?

Hizo haki zimeshehenezwa kwenye katiba tukufu ya Kenya. Wakenya walishafungua macho na kuacha ule "upuuzi" wa haki za watu kuwekwa rehani kwenye mikono ya mtu mmoja aitwaye Rais. Hivyo hebu funguka macho kidogo mkuu uone dunia ya leo na majirani walituzunguka.

Ndio maana imekuwa taabu kubwa kuwapigania na hata kuwahamasisha Watanzania kudai haki zao za msingi (husuni zile za kikatiba) kwani kuna wengi bado wanafikiri kama wewe. Wanadhani haki ya msingi ya mtu inatolewa kwa hisani ya mtawala (Rais) pale anapojisikia na huku ikufuatiliwa na asante nyiiiingi! kama mtu apewaye kikombe cha cha chai. Na ndio maana leo hata upatikaji wa Katiba Tanzania imekuwa ni kitendawili.

Amka bwana na njoo na mawazo ya kisasa uwe msaada kwenye kuikomboa Tanzania ya leo iwe kama Kenya ya sasa.
 
Back
Top Bottom