Dah!!! Mimi sio mume wa mtu sasa sijui lini nitakuwa mume wa mtu lakini chauro all in all thanks for this useful post
mmmhh sijajua ukiingia huku kwenye jf
unananikana mie a watoto ..
Mmmhhh leo ndo utaona cha mtema kunde ..
Hahahaha lol
mambo vipi lakini ??
usijali si bado hatujafanya official, hakuna anayekuibia lol!!!!!!!!!
afrodenzi vipi aisee?!lol mmmmmhhhh kwa kweli lol........😛ray:😛ray:
afrodenzi vipi aisee?!
mbona jamaa wa DHL hawaniletei ile kitu?
afrodenzi vipi aisee?!
mbona jamaa wa DHL hawaniletei ile kitu?
lol mmmmmhhhh kwa kweli lol........😛ray:😛ray:
Hakuna mwizi i am walking with padlocks 24/7
OK OK!will call you tonitemambo poa tu,..
walisema siku 5 to 7 working days..
labda utapata ijumaa... au alhamimisi...
"kama haunipendi jua haunipendi haiwezekani wee daily unanizingua"usijali si bado hatujafanya official, hakuna anayekuibia lol!!!!!!!!!
OK OK!will call you tonite
thnks
hahahahah lol mmmhh usijipe tabu hivyo..
mi nakuamini sana...
vpi lakini zakupotea ??
Poa kabisa X-mass imeanza kunipoteza taratibu aisee
Naona upo vere vereOK OK!will call you tonite
thnks
Naona upo vere vere
mmmhh hilo nimegundua siku nyingi sana...
Lakini usijali hauko mwnyewe..
Kwa kweli mpaka mwaka mpya uanze ndo tutarudi huku kwa nguvu zote tena ..
Lakini kwa sasa ni balaa tuu.
long island ice tea and tequilla
hahahahh lol that is wht i need right now..
haya tayarisha hiyo blender ngoja mi nilete viungo tutengeze cocktail zatu....lol