and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Tukiwa bado kwenye mjadala TRAT na TRAB. Leo ndo Leo vijana wanagraduate CPA(T) huko Bunju Ni mwendo sherehe mji mzima! Uchumi wa Kati unakuja kwa baraka zote.
Hongereni wahitimu wote kapigeni kazi Kwa uadilifu kulingana na maadili ya KAZI yenu.
Inapendeza Sasa CPA(T) kila anayesomea anaipata kirahisi sio enzi zile CPA ilikua kama PhD