Hongera kwa wanaume wa Dar!!!

Hongera kwa wanaume wa Dar!!!

ElPuto Jefe

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
5,284
Reaction score
19,410
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanaume wote wa Dar kwa kuwa wa mfano kwa Tanzania nzima..

Baada ya zile mvua zilizokuwa zinanyesha kipindi cha mwanzoni mwa mwaka huu, sasa matunda yanaonekana.

Kwa kipindi hiki kila nikitembea barabarani lazima nikutane na wanawake wenye mimba. Kipindi cha mvua inaonesha wanaume wenzangu tulikua tunawajibika vyema kwenye migegedo!!

Waache wale wa mikoani waendelee kuona wanaume wa Dar hatujui majukumu...
 
Acha kudanganya watu wakirudi na mvua wanataka maji ya moto hapo kuna mme wanasaidiwa tu hao wenye mimba ni wamikoani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanaume wote wa Dar kwa kuwa wa mfano kwa Tanzania nzima..

Baada ya zile mvua zilizokuwa zinanyesha kipindi cha mwanzoni mwa mwaka huu, sasa matunda yanaonekana.

Kwa kipindi hiki kila nikitembea barabarani lazima nikutane na wanawake wenye mimba. Kipindi cha mvua inaonesha wanaume wenzangu tulikua tunawajibika vyema kwenye migegedo!!

Waache wale wa mikoani waendelee kuona wanaume wa Dar hatujui majukumu...
Baada ya Siro kuwatuliza panya road sasa mnakuja na tambo za kujaza mimba wake zenu!?
 
Back
Top Bottom