ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Baada ya Siro kuwatuliza panya road sasa mnakuja na tambo za kujaza mimba wake zenu!?Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wanaume wote wa Dar kwa kuwa wa mfano kwa Tanzania nzima..
Baada ya zile mvua zilizokuwa zinanyesha kipindi cha mwanzoni mwa mwaka huu, sasa matunda yanaonekana.
Kwa kipindi hiki kila nikitembea barabarani lazima nikutane na wanawake wenye mimba. Kipindi cha mvua inaonesha wanaume wenzangu tulikua tunawajibika vyema kwenye migegedo!!
Waache wale wa mikoani waendelee kuona wanaume wa Dar hatujui majukumu...
Baada ya Siro kuwatuliza panya road sasa mnakuja na tambo za kujaza mimba wake zenu!?