Hao wenye hayo majina hatuwajua personally kwahiyo mtu hawezi kusema simpendi John Walker so sinunui brand yake..ila yeye kwavile anajulikana mtu atanunua kutokana na mapenzi binafsi kwa JayDee na sio kwakuhitaji kilichobrandiwa...kitu ambacho kitamnyima wateja wasiompenda!!
Hapo nimekusoma mkubwa, lakini ninachoamini kama bidhaa ikiwa bora na watumiaji wa kwanza wakaisifia, ni hakika kuwa atauza. Halafu kumbuka soko la Bongo halijakaa kibaguzi namna hiyo.
Kitu kingine unaweza kuona kuwa Jay Dee anakubalika Bongo kwa kiasi kikubwa, na hata wasiomkubali hawamchukii kivile ndio maana amendelea kusavaivu kwenye game kwa kipindi kirefu.
Muhimu kwake ni kuendelea kulinda jina lake ili hata wale wateja ambao wako sensitive na Branding wawe upande wake.
anajitahidi.....
Mkuu....Ni Nani tena huyo....Hongera sana JayDeee afadhali ya wewe unaona mbali kuliko yule anayejiona eti superstar kwa sababu kaolewa na MZUNGU na ana ka blog kanamtia wazimu na kutukana wenzie. BIG UP JIDEE wewe ni mfano wa kuigwa