Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF
Pongezi kwa ndugu Luhaga Mpina kwa namna anavyowasilisha hoja zake, michango yake, mantiki na maudhui, anakuwa na hoja na mapendekezo. Uwakilishi halisia wa kibunge, Mungu ambariki sana, na anatoa taswira nzuri ya uwepo wa watu wenye akili na utashi wa kibunge ndani ya Bunge letu.
Hongera sana sana.
Mungu akubariki na akuzidishie maarifa.
Wadiz