Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Na wala haidhuru wana uhuru wa kupokea au kutopokea, na yeye aendelee kuwakubusha na kuwakosoa, na kupendekeza ndio muhimu basi.Yuko vizuri, bahati mbaya wahusika kila ushauri wanaopewa badala ya kusema wataufanyia kazi, wanageuka wabishi kushindana na Mpina, kwao wanamuona Mpina kama adui wao, ni Tanzania pekee ambapo interest za kundi fulani zinakuwa juu ya taifa.
Acha unafikiYuko vizuri, bahati mbaya wahusika kila ushauri wanaopewa badala ya kusema wataufanyia kazi, wanageuka wabishi kushindana na Mpina, kwao wanamuona Mpina kama adui wao, ni Tanzania pekee ambapo interest za kundi fulani zinakuwa juu ya taifa.