Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Unakimbilia mada za udini ambao haupo ni kama unaulazimisha uwepo. Hayati JKN alisema pale kilimanjaro hotel kwamba mtu aliyefilisika kichwani haraka sana hukimbilia kujitambulisha kikanda, kimaeneo, kiukabila.Kwa hiyo viziwani hakuna wakristo?
Mimi ni mkatoliki, sikimbilii falsafa za kidini naelewa madhara yake.Kama nanyi uislamu unavyowatafuna
mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.Alifanya kipi ambacho wengine hawakuwahi kufanya?
mbona pia wakati nadhani alikuwa uingereza alipoulizwa swali la ukabila na udini alikubali na kusema kwa sasa tz ukabila upo so huwezi kukwepa udini na ukabila upo tz tena kwa sasa unarudi kwa kasi ya kutisha.Unakimbilia mada za udini ambao haupo ni kama unaulazimisha uwepo. Hayati JKN alisema pale kilimanjaro hotel kwamba mtu aliyefilisika kichwani haraka sana hukimbilia kujitambulisha kikanda, kimaeneo, kiukabila.
Jitahidi usifanane na aliyefilisika kichwani.
Hakuna mRC mpuuzi kama weweMimi ni mkatoliki, sikimbilii falsafa za kidini naelewa madhara yake.
we ni mpuuzi tu jibu hojaUnakimbilia mada za udini ambao haupo ni kama unaulazimisha uwepo. Hayati JKN alisema pale kilimanjaro hotel kwamba mtu aliyefilisika kichwani haraka sana hukimbilia kujitambulisha kikanda, kimaeneo, kiukabila.
Jitahidi usifanane na aliyefilisika kichwani.
Haki ganimnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Huna hoja mkuu, unasambaza chuki hapa JF.we ni mpuuzi tu jibu hoja
Mpuuzi ni wewe unayetaka watu wamchukie SSH kwa dini yake. Huna kabisa maono wala hekima.Hakuna mRC mpuuzi kama wewe
Hata kama unarudi ni wa kupigwa vita kwa namna yoyote ile. Madhara yake huwa ni makubwa na yanayodumu wa miaka mingi.mbona pia wakati nadhani alikuwa uingereza alipoulizwa swali la ukabila na udini alikubali na kusema kwa sasa tz ukabila upo so huwezi kukwepa udini na ukabila upo tz tena kwa sasa unarudi kwa kasi ya kutisha.
Hakuna mahali nimeandika wachukie dini ake isipokuwa matendo yake ya waziMpuuzi ni wewe unayetaka watu wamchukie SSH kwa dini yake. Huna kabisa maono wala hekima.
Hakuna chuki ni ukweliHuna hoja mkuu, unasambaza chuki hapa JF.
Ni chuki tu dhidi ya waislam.Hakuna chuki ni ukweli
Dingi alijitahidi sn sema maza udini unamtafuna sn