Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Kweli yani.Halafu yule mama siyo manafiki kabisa,Ndicho nampendea.hongera zako mama!umekuwa ICON nzuri kwa charity mwaka 2010
let's pray for the best😀😀Kweli yani.Halafu yule mama siyo manafiki kabisa,Ndicho nampendea.
Natoa wito kwa wanawake wote kama akina Sophia Simba na wengineo tuige mfano wake.
Just curious.Atampongezaje?kwenye TV au kumpa uongozi?Subirini muone, JK atampongeza sasahivi!
Mwezi wa tatu huu dadake stuka.Robo ya mwaka tushaikata tayari.Lakni nadhani assesment yao huwa inabase mwaka uliopita.Kama yeye labda aliyofanya kwa mwaka 2009.hivi mwaka 2010 si ndo umeanza tu? anyway hongera mama, ni kweli huyu mama hu-call a spade, a spade and i love that.
Just curious.Atampongezaje?kwenye TV au kumpa uongozi?
Subirini muone, JK atampongeza sasahivi!
Mbona Anne Kilango hakupongezwa kwa kaunaibuW wakati na yeye alipata tuzo na ni CCM mfurukutwa?[/SIZE]
Hata mpongeza kwa sababu Ananilea si mwanasiasa na nadhani si mwanachama wa CCM.
Precisely, Betty mkwasa alipopata CCN Multichoice award, akapongezwa kwa u-DC.
But ukikaa na huyu mama umsikie comments zake kuhusu wanaume.....!!!! you can comment about her otherwise.
who is this good mama? What she does?
Jana kwenye kipindi cha pambanua channel 10, kuna mtazamaji aliuliza kama yeye (na wenzio waliokuwemo kwenye interview ile) atagombea ubunge...[/SIZE]
Hata mpongeza kwa sababu Ananilea si mwanasiasa na nadhani si mwanachama wa CCM.
Mkuu mama Hellen Kijo-Bisimba yupo Uingereza anako kula nondoz ya udaktari wa falsafa (shahada ya uzamifu) wa masuala ya haki za binadamu. Kwa mara ya mwisho alionekana hapa bongo mwishoni mwa mwaka jana alipokuwa nakusanya data za utafiti wake kwenye wilaya za nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa. Mama Kijo-Bisimba hasikiki sana siku hizi kwasababu amekuwa mwanafunzi muda mwingi yupo maktaba mkuu wanguYu wapi Mama Kijo mbona hasikiki sana siku hizi?