Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Uhuru Rais wa Nne Mkuu.Wadau hamjamboni nyote?
Ndiyo ana miaka 90 sasa
Ngina Muhoho almaarufu Mama Ngina ni mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya Hayati Jommo Kenyatta & Mama wa Rais wa tatu wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta
Mama Ngina alizaliwa 24 June 1933 hivyo kwa sasa anao umri wa miaka 90
Nini Siri ya mafanikio hayo makubwa kiafya kwa mama yetu na lipi tunajifunza kutoka kutoka kwake?
Mungu azidi kukujaalia maisha marefu zaidi
Na mama yake mzazi wa Uhuru Kenyatta ni mke wa nne Marehemu Mzee Kenyatta what a coincidence na namba nneUhuru Rais wa Nne Mkuu.
Tayari nimerekebishaUhuru Rais wa Nne Mkuu.
Sijaandika kuwa Mama Ngina ni mke wa kwanzaNa mama yake mzazi wa Uhuru Kenyatta ni mke wa nne Marehemu Mzee Kenyatta what a coincidence na namba nne
Ngina Kenyatta ni bi mdogo nyumba ndogo ya marehemu Mzee Kenyatta sio mke wa kwanza mke wa kwanza ni Grace Wahi wa pili Edna Clarke mzungu wa Tatu Grace Wanjiru wa nne ndie huyo Ngina Kenyatta mama yake Uhuru Kenyatta
Na mama yake mzazi wa Uhuru Kenyatta ni mke wa nne Marehemu Mzee Kenyatta what a coincidence na namba nne
Ngina Kenyatta ni bi mdogo nyumba ndogo ya marehemu Mzee Kenyatta sio mke wa kwanza mke wa kwanza ni Grace Wahu wa pili Edna Clarke mzungu wa Tatu Grace Wanjiru wa nne ndie huyo Ngina Kenyatta mama yake Uhuru Kenyatta