Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote ni guvu ya goli la mama

Mpira wa Tanzania umechanganywa na siasa ,mabango ya mama yamejaa Kwenye viwanjaa mpk kerooo,makocha na wachezaji hawazungumzi mpira tenaa n Asante mama ,Asante rais yaan ๐๐๐