Image ya nchi nje imechafukaHongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho. Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka!! wanasema walikuwa wanaona video za Idd Amini hawakufikiria atakuja kutokea Idd Amini mwanamke
You are right.She doesnt care. She has made her peace and chosen the devil
Nasikia leo kagoma kuhutubia kwenye uapisho mwenye taarifa kamili tunaombaShe doesnt care. She has made her peace and chosen the devil
Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho. Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka!! wanasema walikuwa wanaona video za Idd Amini hawakufikiria atakuja kutokea Idd Amini mwanamke
This message applies to Tanzania 100%.
Yote aliyotaja Tanzania haijatimiza hata moja kujinadi democratic state.
Who caresImage ya nchi nje imechafuka
She does, they does care. And she knows itWho cares
Who cares
Ametutia aibu sana kwa kweli!!!!dah.wanawake wanaweza wakiwezeshwa🙂
You are right.
Kinachoendelea kwa Samia ni kama yule jamaa aliyeanza ushoga kwa kujistukia mdogo mdogo akazoea. Alipozoea akawa amekatika mishipa ya aibu,anavaa hadi top na khanga Huku anabinua makalio mtaani akitembea.
Ushoga ukikomaa Mishipa ya aibu hutoweka. Wanafanya mambo "liwalo na liwe,mtajua wenyewe".
Ndiyo Samia sasa.
Alianza kutoa makucha polepole,tukapiga kelele,ila sasa ameshazoea hii hali ya kuua na kunywa damu za watu.
Hajali Tena hizo kelele zenu hata mumtishe vipi.
She is in devil mode now,she can not go back to normal(default mode).