Hongera Mandojo kwa kumiliki duka Kariakoo

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nmefarijika sana leo baada ya kumuona Mandojo Kariakoo akiwa kwenye duka la viatu vya kike simple akichangamka na kuuzia wadadaB.

Baada ya kudadisi nikaambiwa lile duka ni lake nilifurahi ikabidi nikamuungishe kiatu pia
Nampa hongera maana wenzake wengi sasa ni mateja.

 
Wapi Domokaya? Last time nilikuwa naye njiro(arusha)kwa mama yake wakati alipofiwa na baba yake,hasomeki yaani!
 
Hivi huyu ndo yule mjengo wake ulibomolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…