Freewine
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 257
- 211
Ngoma yako ya Taa Kali Sana braza, hongera kwa kurudi kivingine. Sometimes ngoma za mapenzi zinatuchosha Sana sisi mashabiki. Nyimbo Kama hii ya Taa inatupa nafasi nyingine ya kujinyenyekeza kwa Mungu maana sio Kila muda mapenzi. Keep moving na daima unyenyekevu plus good music vitakufikisha mbali