The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Hpn picha enzi hizo akiwa mzigoniMbona bado kijana sana kwa hiyo picha? Ana miaka 103 kweli?
Itakuwa alidanganya umri ili akubaliwe jeshini enzi izoMbona bado kijana sana kwa hiyo picha? Ana miaka 103 kweli?
Umezoea kudanganya unafikir wote wanadanganyaItakuwa alidanganya umri ili akubaliwe jeshini enzi izo
Miaka ya zamani sio Kama leo vijana wafanyavyo.Itakuwa alidanganya umri ili akubaliwe jeshini enzi izo
Huyu kamezwa na mfumo wa kisasa ambapo vijana huhangaika kujirudisha na kuwa na miaka 17-20 ili waingie jakataUmezoea kudanganya unafikir wote wanadanganya