Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 15, 2022 #21 Abuu Kauthar said: Haya ndio yanakwamisha rufaa zao? Click to expand... Lakini ni sahihi kuchanganya R&L?
Abuu Kauthar said: Haya ndio yanakwamisha rufaa zao? Click to expand... Lakini ni sahihi kuchanganya R&L?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 15, 2022 #22 Abuu Kauthar said: Haya ndio yanakwamisha rufaa zao? Click to expand... Lakini ni sahihi kuchanganya R&L?
Abuu Kauthar said: Haya ndio yanakwamisha rufaa zao? Click to expand... Lakini ni sahihi kuchanganya R&L?
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Mar 15, 2022 #23 Babati said: Lakini ni sahihi kuchanganya R&L? Click to expand... Hilo linajulikana, na je ndio sababu ya kutosikiliza rufaa
Babati said: Lakini ni sahihi kuchanganya R&L? Click to expand... Hilo linajulikana, na je ndio sababu ya kutosikiliza rufaa
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,010 Reaction score 6,678 Apr 7, 2022 #24 Abuu Kauthar said: Hilo linajulikana, na je ndio sababu ya kutosikiliza rufaa Click to expand... Hata wakimaliza kusikiliza hizo rufaa majibu hawatoi mpaka wapate ruhusa kutoka kwa mwajiri
Abuu Kauthar said: Hilo linajulikana, na je ndio sababu ya kutosikiliza rufaa Click to expand... Hata wakimaliza kusikiliza hizo rufaa majibu hawatoi mpaka wapate ruhusa kutoka kwa mwajiri
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Apr 7, 2022 #25 Precise Pangolin said: Hata wakimaliza kusikiliza hizo rufaa majibu hawatoi mpaka wapate ruhusa kutoka kwa mwajiri Click to expand... Duh hii nayo kali asee
Precise Pangolin said: Hata wakimaliza kusikiliza hizo rufaa majibu hawatoi mpaka wapate ruhusa kutoka kwa mwajiri Click to expand... Duh hii nayo kali asee
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,010 Reaction score 6,678 Apr 11, 2022 #26 Abuu Kauthar said: Duh hii nayo kali asee Click to expand... Mkuu kuna ndugu yangu anahangaika nao miaka miwili sasa majibu yao ni rahisi tuu wanakuambia nenda kwenye sanduku la posta halafu wanakuapa simu amabayo muda wote imezimwa hii tume ni ya kufumua yote
Abuu Kauthar said: Duh hii nayo kali asee Click to expand... Mkuu kuna ndugu yangu anahangaika nao miaka miwili sasa majibu yao ni rahisi tuu wanakuambia nenda kwenye sanduku la posta halafu wanakuapa simu amabayo muda wote imezimwa hii tume ni ya kufumua yote