Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kwa hakika leo nimeona mchezo ninaoutaka. Timu kana utopolo wacheza mieleka ukicheza nao soft na marefa wetu walivyo, wanaweza kukuabisha sana. Ila leo nimeona physique, nimefurahi sana. Zile kelele za wazee leo sijazisikia.

Acha wabebe kikombe hicho wawe na faraja kidogo. Sisi kazi ni moja, klabu bingwa Afrika.

Simba nguvu moja
 
Wivu tu,na tutacheza nae. Maana hao wanacheza mpira. Tunapocheza na uto tunajiandaa kukabiliana na wacheza mieleka
Nyau fc mlizani nyau anavuka bahari.
Eti ninja tu kawaficha dah eti mcheze na ahly ahly
 
Usitishike na takwimu.Kila mechi ina game plan zake.Bado mfungaji bora anatokea Simba hiyo hoyo
Dakika 90. Shots on target
Simba 0 Yanga 5. Bado naona tatizo mahali kwa Simba
 
Penalty unashangilia kiasi hiki?
Bado wala sisi haitustui,ushindi wa matuta haunogi!
# Simba nguvumoja
Ivi kuna shabiki wa Nyau fc asie amini kuwa kagongwa?
Acheni wenge, wananchi sio watu wazuri nyie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…