Hongera Matola, Hongera wachezaji wa Simba, nimefurahi kama vile tumechukua ubingwa sisi

Ukizingatia ushindi wa jana unawapeleka Group Stage ya Champions league barani afrika na mtacheza na tp mazembe wagumba fc mliozaa Jana.
Ptuu Mkia wewe
 
Plateau na platmum aliwatoa shangazi yako?

Utopolo mnajilinganisha sana na Simba lakini size yenu ni JKT Ruvu,na Mbao FC.
Tangazeni vita, Yanga ishakua tishio kwenu. Simba bila kuwaficha mnavimbishwa pua wakati uwezo wenu mdogo mno na wa kubahatisha bahatisha.
 
Wachambuzi makanjanja hayajui hii unless yangemkuta utopolo haya yote wangeyaongea wao
 
Kwa hiyo ulitaka Matola afanye miujiza ipi kwa muda mfupi aliopewa timu, kwa kweli kwanza kajitahidi sana, halafu ingekuwa simba imefungwa ndani ya dakika tisini hapo sawa, lakink issue ya penalty hata akina mesi na ronaldo wanakosa kwa hakuna cha ajabu hapo.
 
Plateau na platmum aliwatoa shangazi yako?

Utopolo mnajilinganisha sana na Simba lakini size yenu ni JKT Ruvu,na Mbao FC.
Ujinga kitu kibaya sana, mpaka sasa unakosa heshima! ? Endelea kusubili vipigo mpaka unyoshe mikono juu,
mkia wewe.
 
Matola hajapewa timu kwa muda mfupi, alikuwa kocha msaidizi kwa hiyo ninmti anayeijua timu na wachezaji wa Simba vizuri kwa kifupi alishindwa kutengeneza muunganiko mzuri.
 
Kibaya zaidi kuna demu wa utopolo alikuwa akizishangaa ndume za uto zikishangilia ushindi wa penalty kwa kuuliza,hivi si hata mimi naweza kupiga shuti kwa akili tu nikafunga?Tukamwambia huo ndio ukweli!

Aliwageuka kwa kuwaponda kuwa kama wao ni wanaume wangefunga kwenye battle ya dk 90
 
Kiukweli mimi mwenyewe nilipenda sana uchezaji ule yaani lazima tuwe na strategies za kukabiliana na timu zinazotegemea nguvu zaidi kushinda na jana tulimudu laiti tungekuwa laini jana mechi ingeisha mapema tu
 
Kikosi kipana
 
Kwahio Onyango na Kagere ni wanawake maana wameshindwa kupiga hilo shuti
 
Maneno ya mkoswaji, je kombe lingebebwa na simba lingeachwa huko huko Zanzibar haaa haaa , asiye kubali kushindwa si [emoji82][emoji82][emoji82][emoji82]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…