Hongera Mbosso kumbeba Zuchu

Hongera Mbosso kumbeba Zuchu

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Nimeisikiliza collable ya Zuchu na Mbosso kwenye wimbo marahaba, aisee kazi nzuri Sana, Mbosso kamtendea haki Zuchu
 
Nimeisikiliza collable ya Zuchu na Mbosso kwenye wimbo marahaba, aisee kazi nzuri Sana, Mbosso kamtendea haki Zuchu
Yah nimeisikia ngoma Ni Kali wanna chemistry nzuri Sana.
 
Naona umekuja kujipigia promo Zuchu

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_4585.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom