Hongera Mbowe, CHADEMA sasa ni chama cha kitaifa

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Mhe. Mbowe kwa kukusudia ama kwa kulazimishwa na mazingira, umefanikiwa kukifanya CHADEMA kuwa sasa na sura ya kitaifa zaidi.

Kumekuwa na mtizamo kuwa chama hiki ni cha kikanda ama cha kikabila ama cha kifamilia. lakini kwa sasa baada ya uchaguzi na viongozi waliopatikana sasa hoja hii imekufa.

Kwa sasa umeweza kuwapatia watz chama mbadala.

Hongera sana.
 
Kweli kabisa umesema vyema! Hoja mufilisi za mafisi na mambuzi kwishney🤣🤣🤣
 
Mhe. Mbowe kwa kukusudia ama kwa kulazimishwa na mazingira, umefanikiwa kukifanya CHADEMA kuwa sasa na sura ya kitaifa zaidi.

Kumekuwa na mtizamo kuwa chama hiki ni cha kikanda ama cha kikabila ama cha kifamilia. lakini kwa sasa baada ya uchaguzi na viongozi waliopatikana sasa hoja hii imekufa.

Kwa sasa umeweza kuwapatia watz chama mbadala.

Hongera sana.
Tumejichelewesha wenyewe kwa kufikiri kuwa CDM ni chama cha Wachagga na pia CCM walifanikiwa kuwafanya Watanzania wafikiri hivyo muda wote huo, tungekuwa mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom