Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Msigwa kwa mujibu wa Lema alitofautiana na Mbowe baada ya ukimya wa mwenyekiti ambao ulipelekea waanzishe group la WhatsApp na Msigwa kuanza kumtuhumu kuwa amekuwa kimya kwa sababu amelamba asali.
Kutokana na ukweli kwamba Mwenyekiti alitamani kufanya kazi na watu wasio na uchu wa madaraka akajenga misingi ya wazi yakutokushirikia naye ndipo Msigwa akaamua kuanza rasmi mikakati ya kulibomoa dude kabla ya kufanikiwa wakamtoa kwenye uongozi.
Alipoona amezidiwa na kwakuwa alishaanzisha mahusiano na upande wa pili na wakubwa walifahamu ikabidi aende alipo sasa. Lema ametusaidia kujua kwanini Msigwa anatamani cahdema ife. Alikuwa kazini