Hongera Mbowe kwa kutambua thamani ya Tanzania

Hongera Mbowe kwa kutambua thamani ya Tanzania

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa CHADEMA kwa kutambua thamani ya Tanzania Tofauti na huko nyuma sasa hotuba zake zimejaa uzalendo anaitanguliza Tanzania. Anaonesha heshima kubwa kwa Rais hii ndio huruka na Tabia ya waTanzania.

Nimefatilia hotuba zake Mwanza, Musoma na Tarime kweli Mbowe amebadirika na amekuwa mzalendo na anayestahili kupongezwa. Sasa ajitahidi kuzuia mihemko ya vijana wake ili Tanzania iendelee kuwa Kisiwa cha Amani Chini ya uongozi Wa mwanamama shujaa hodari na mtetezi mkubwa Wa umoja na uzalendo MH Rais Samia.
 
Huyo ni mzalendo siku zote kuliko Chawa wote, sema kwa kuwa uligubikwa na chuki wakati huo ulishindwa kuutambua uzalendo wake.
 
Back
Top Bottom