Hongera Mbwana Samata hakika umetuwakilisha vema

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Kucheza ulaya ni ndoto ya kila kijana mcheza soka wa Africa. Lakini kucheza UEFA Champions leage ni ndoto ya kila mwanasoka duniani. Samata amepata hiyo fursa iliyofinyu mno mno! " Kucheza Uefa champions leage tena na kufanikiwa kufunga goli. Umejitangaza ww binafsi lakini muhimu zaidi ni Tanzania bila kujali kuwa mlipoteza kwa 6:2 . Sisi Wtz wazalendo tutaendelea kukuunga mkono na kukusapoti kila hatua unayopiga. Waswahili husema usipoweza kuiona njia tengeneza njia. Ww umetengeneza njia kwa vijana weeeeengi sn. Endelea kupambana kaka tupo nyuma yako daima
 
Kwa sasa aamue tu mwenyewe pa kwenda kwenye dirisha dogo la January. Historia imeshaandikwa
Hongera nyingi zimfikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…