Yupo vizuri wale wanaowapiga majungu kusaga na ruge na mawingu waje hapa
Get angry or get inspired....
Ruge na kusaga
#GetAngryGetInspired
Ritz na mafisadi kwa mshahara upi watangazaji wabTanzania anaolipwa hembu dadavueni kwamapana kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi tutaona mengi.
ivi Ayo ana dem?

Kwa jina, pesa, fursa aliyonayo alipaswa kuwa na studio au kitu chochote ambacho kina brandname yake...
Kwani hizo radio stations hazina studio zao za kutengeneza vipindi mpka watafute mtu wa kufanya. Mimi nadhani hii haikakaa clear, anayejua atujuze kafungua studio au radio station? Kama ni radio studio kazi yake ni nini? Na je zipo nyingine hapa bongo au hiyo ndo ya kwanza?
Hongera zake,Diamond yeye kila mwaka anabadilisha papuchi tu
Wewe ni mchawi?
Sasa hapas diamond anaingiajee?? Aisee wsfuasii wengine bana