Ila kama ni kweli anakula Kidoti aache mara 1, anajivunjia heshima kutoka na changudoa
Hahahaaa Cc Ruttashobolwa
Teh Teh ...hakuna hirizi iliyo kamatwa kama kidhibiti kwenye huu uzi?
Millard ana akili sana. Anafanya vitu kwa mipango, kwa nini asiwe anamshauri jokate shost wake. Maana jokate linakurupuka likidhani ni sifa. Safi sana Millard ayo, hayo ndiyo maendeleo.
ivi Ayo ana dem?
Nawaona wanga wanasapotiana.swali makini sana! maana kipindi cha kuvuna ndio hiki! kuanzia wanahabari, waganga wapiga ramli mpaka wana bongo fleva.
Zipo nyingi sanaKwani hizo radio stations hazina studio zao za kutengeneza vipindi mpka watafute mtu wa kufanya. Mimi nadhani hii haikakaa clear, anayejua atujuze kafungua studio au radio station? Kama ni radio studio kazi yake ni nini? Na je zipo nyingine hapa bongo au hiyo ndo ya kwanza?
Hongera zake,Diamond yeye kila mwaka anabadilisha papuchi tu
Mwaka huu amepanga kuigusa papuchi unayoimiliki ww, kaa mkao wa kuliwa😀
Kwa jina, pesa, fursa aliyonayo alipaswa kuwa na studio au kitu chochote ambacho kina brandname yake...
Hongera zake,Diamond yeye kila mwaka anabadilisha papuchi tu
Ritz na mafisadi kwa mshahara upi watangazaji wabTanzania anaolipwa hembu dadavueni kwamapana kipindi hichi cha kuelekea uchaguzi tutaona mengi.
Wewe ni mchawi?
Basi watu wa marekani????
Nawaona wanga wanasapotiana.
Kwahiyo we boya unataka kusema Ritz ndo boss wake Millard? Make ye mwenyewe amenukuliwa baadhi ya sehemu akiwashukuru sana maboss wake Ruge na Joe kwa kumbadilisha kiutendaji wa kazi tofauti na alivyokua mwanzoni huko alikotoka.
Sasa tumuamini nani? Ayo au wewe uliyeko nyuma ya Keybord kwa ID fake?
NB.Kwa mujibu wa Sensa ya kwenye mitandao ya Kijamii inaonyesha hii nchi ina wachawi wengi japo wengi hawajitambui kama ni wachawi. Kuanzia leo kila mchawi nitakuwa namtaarifu uchawi wake ili ajue kipaji chake.
Make Bill Gates ashawaambia watu kuwa ''watu wengi duniani wamekufa masikini kwasababu walishindwa kugundua vipaji vyao''.
Ifike hatua tusaidiane kuonyeshana vipaji vyetu walau tuone kama tunaweza kujikwamua na umasikini wetu. Ndg naanza kwa kukwambia wewe Kuwa ni Mchawi.
Nyambafu kabisa hamna jipya hapo usifikirie kwa pua wewe uongo ndio tunaousadiki sasa ungetarajia akuambie kwa msaada wa ..... ili dili libumburuke rudisha pesa ya babako aliyokusomeshea shule we mbulula ukiwa na akili jaribu kuchanganya na maarifa hutapata shida kufikiri.