Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Du.....!.mie msalimie tyu cheupe wako!!
Ila lile guuuu daaaamn!!
Mh, hivi mwanaume ana ushoshti Na mwanamke?
Kumwambia binadamu mwenzako linakurupuka ,inaonesha jinsi unavyomchukia huyo mtu.
Na huo nao ni uchawi kama wale wauaji Albinos.
Alikukosea nini hadi, unamwambia" linakurupuka likidhani sifa?
Kipaji chako ni UCHAWI
Uchawi wako usifikie kuua albino
Mimi ndo. Fa mwenyewe vipi kwani??
Stop kiliing albino Jay Jay,wana haki ya kuishi.
Hapa tulipofikia hata mungu hawezi kutusaidia tena!!
Hawa punguani wengine wenye utapiamlo wa ubongo wanachekesha sana.
Mtu anayepinga kuamini habari za uchawi kila siku hapa bado katika akili zao zinazoenda kimkundumkundu anaweza kuonekana mchawi.
Duu hapa kazi ipo. Punguza jazba kidogo mkuu bado tunakuhitaji hapa jukwaani.
Hawa punguani wengine wenye utapiamlo wa ubongo wanachekesha sana.
Mtu anayepinga kuamini habari za uchawi kila siku hapa bado katika akili zao zinazoenda kimkundumkundu anaweza kuonekana mchawi.
Jazba iko wapi hapo?
Unaweza kuionesha ilipo jazba na tuekezane pointi kwa pointi jazba ni nini na a legitimate smackdown ni nini?
Jazba imejidhihirisha ktk matumizi ya offensive words mkuu.
Wewe huwezi kuelewa ulimwengu wa maendeleo. Na inaonesha una uwezo mdogo wa ku reason mambo ya maana, simple logic una penda wachawi