i think
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 361
- 72
Katika moja ya watangazaji ambao wanajtahidi kuifanya kazi hii iwe na heshima ni Millard Ayo. Sitaki kumzungumzia kwa upande wa utangazaji, nataka nimzungumzie katka upande wa ujasiriamali wake binafsi wa website. Amefikia wakati akawa anachuana na bongo5 lakini hutofautiani millardo alisimama katka nyanja zote.
Pongezi zangu ni hizi. Amepiga hatua ambayo naamini 2016 atakuwa ni binadamu mwingine kabisa. Ameajiri maripota ambao wameifanya iwe Media kamili. Adella TZA, Edwin, G Tza ni baadhi ya ma-author niliowana. Kwa hatua hii anaweza kushindana na Bongo5.com ambao ina maripota wengi; Nnauye, Bundala na wengine.
Ladha ziko tofauti Bongo5 ndio maana haichoshi, nawe kwa kuliona hili unastahili pongezi. Binafsi tayari kijana wako Edwin TZA ananivutia!