Hongera Millard Ayo kwa hatua 2015

i think

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
361
Reaction score
72
Katika moja ya watangazaji ambao wanajtahidi kuifanya kazi hii iwe na heshima ni Millard Ayo. Sitaki kumzungumzia kwa upande wa utangazaji, nataka nimzungumzie katka upande wa ujasiriamali wake binafsi wa website. Amefikia wakati akawa anachuana na bongo5 lakini hutofautiani millardo alisimama katka nyanja zote.

Pongezi zangu ni hizi. Amepiga hatua ambayo naamini 2016 atakuwa ni binadamu mwingine kabisa. Ameajiri maripota ambao wameifanya iwe Media kamili. Adella TZA, Edwin, G Tza ni baadhi ya ma-author niliowana. Kwa hatua hii anaweza kushindana na Bongo5.com ambao ina maripota wengi; Nnauye, Bundala na wengine.

Ladha ziko tofauti Bongo5 ndio maana haichoshi, nawe kwa kuliona hili unastahili pongezi. Binafsi tayari kijana wako Edwin TZA ananivutia!
 

huyu dogo akikaza mpaka 2020 atakua ana miliki radio and tv station yake tumuombee mafanikio mema maana wabongo kwa wivu na chuki hawafai wanaweza kumletea vikwazo kibao ili wakwamishe jitihada zake.
 
Sasa hapo ni hatua zipi? Ziseme tizijue.. Umeishia kumshindanisha na bongo5 tu..
 
Sasa hapo ni hatua zipi? Ziseme tizijue.. Umeishia kumshindanisha na bongo5 tu..

kuweza kuifanya millard ayo.com kuwa pana zaid tofaut na awal ambapo alikuwa anaandka stor pekee na kuzpost peke ake.sasa hv millard ayo ana watu kama watatu ambao n mauthor wa webste yake.hl ltaongeza ladha na utofaut mkubwa utakamsababishia azd kuwavutia watu zaid kwa sababu kila mtu analadha zake.mfano kama clouds mchovu anavutiwa watu na fety watu wake bila kumsahau b12.
 
Atafanikiwa maana ana damu ya kupendwa

Hii ni imani potofu.
Hakuna damu ya kupendwa bali kuna Bidii, Juhudi na Maarifa.
Mbona Juma nature hatumsikii tena ilhali tuliambiwa ana damu ya kupendwa?
 
Hii ni imani potofu.
Hakuna damu ya kupendwa bali kuna Bidii, Juhudi na Maarifa.
Mbona Juma nature hatumsikii tena ilhali tuliambiwa ana damu ya kupendwa?

kuna wengine wanahustle kinoma na wanajua ile mbaya but still hawatusui,hujawahi kuona watu wa namna hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…