Hongera Misri kwa kuitandika Tanzania gori moja kipindi cha kwanza nawatakia kila lakheri

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
 
Akili ndogo hizi, unajua mpira umechangia kiasi gani kukuza pato la taifa, unajua kodi Azam anayolipa kwa kurusha mpira? Unajua kodi inayopatikana kwa kuuza jezi kwa mashabiki? Unajua serikali inapata mapato kiasi gani viwanja vikijaa? Unajua ni media ngapi zinajiendesha kwa kutangaza mpira? Ni vijana kiasi gani wameajiriwa kwa shughuli zinazohisika na mpira?
 
Tatizo ni serikali au roho ya kufia nchi kwa jambo lolote unalolifanya.
 
Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.

Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
Thread ya hovyo mwaka 2024
 
Safi sana.hata Mimi nawapongeza
 
Bavicha mna tabu!!!
 
We ni tahira, jinga na pumbavu, ndiyo maana unashindwa kutofautisha "R" na "L" mbwa wewe!
Hakuna 'Gori' kuna 'Goli' kenge mmoja wewe rejea shule
 
CCM bwana, wamehodhi kila kitu. Eti chama Dola....Hovyo!.
 
Build-up game hiyo, tunatest mitambo tu
Subiri AFCON ianze
 
Hiyo timu ya Samia na Genge lake la Wahuni naomba ipigwe hadi ichakae!
Mama Yetu tunampenda, Mungu ampe maisha marefu.

Wahuni ni hakina Msomali na genge lake kwenye uongozi wa soka.
 
Back
Top Bottom