Thread ya hovyo mwaka 2024Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
Safi sana.hata Mimi nawapongezaMpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
Bavicha mna tabu!!!Mpira wa Tanzania umejaa siasa hakuna uwekezaji kwenye football, viongozi wamekalia kununua magori tu. Wameshaona ndiyo uwekazaji wa footbal kupitia njia hiyo. Nawapongeza misri kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Pesa za watanzania ambazo zingeenda kumsaidia mama mjanzito wakati wa kijifungua zinatumika kununua magori huku hospitali huduma zake mbovu.
Bavicha mna tabu!!!
Mama Yetu tunampenda, Mungu ampe maisha marefu.Hiyo timu ya Samia na Genge lake la Wahuni naomba ipigwe hadi ichakae!