Hongera Miss Tanzania 2016, Lakini,,,!

MKUDE SIMBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
305
Reaction score
167
Anaandika Edson Mshumbusi.

MISS TANZANIA 2016

JINA: Diana Edward Lukumai
UMRI: Miaka 18
ELIMU: Shahada(degree)

Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
Darasa la kwanza akiwa na miaka 2.

Ingawa sio shabiki sana wa mambo ya urembo napenda nichukue fursa hii kuwapongeza wazazi wa Diana na wazazi wengine ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na umri kama huo.!

Alamsiki
 
Hahahahhahahha. ..hivi kwa nin usiseme ukweli looooohhhh.....ukiwa muongo uwe na kumbukumbu na mahesabu makali,nshamdharau huyu dada
 
Huyo hawezi kuwa 18years yupo above kwa kumuangalia tu amefika 23 au 24
 
Hahahaaa.......Tanzania mazingaombwe huwa hayaishi ina maana hata waliompa huo umisi wameshindwa kujua kuwa huyu hawezi kuwa na age ya 18
 
Kama wanaona watakosa washiriki ni bora kupandisha umri kama sifa za washirik
 
[/URL] Tafadhali naomba nipaye majibu kwa wanaosema Miss huyu ana degree. Cheki hii video dk 8. Utajua namaanisha nini. Hapo ilikiwa Miss Kinondoni sep 2016.
 
Hahahahhahahha. ..hivi kwa nin usiseme ukweli looooohhhh.....ukiwa muongo uwe na kumbukumbu na mahesabu makali,nshamdharau huyu dada
Ushamdharau una uhakika hii taarifa iliyoletwa hapa ni sahihi ? Au ndio hamtaki kuumiza ubongo kwa kufuatilia mambo kabla ya kutoa hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…