Haha AF nikweli bhanKwakweli sitakuwa mwenye fadhila Kama sitafunga na kufungua mwaka 2020 kwa kumshukuru mkwepu Jr kwa kunipa Mimi binafsi likes na members wote humu.
Nakiri kusema Kama mkwepu Jr hajakupa like basi wewe una mkosi gundu na nux!!
Asante mkwepu Jr
Kuna mwingine anajiita mjr95 yeye kila uzi anakomaa na ngoja waje kukupa muongozo, huyu jamaa nimeshidwa kumuelewa kabisa.
Wamtafutie kazi ya kufanya .Kuna mwingine anajiita mjr95 yeye kila uzi anakomaa na ngoja waje kukupa muongozo, huyu jamaa nimeshidwa kumuelewa kabisa.
Hata mimi nimewaza hivyo, hilo jamaa ni lirobot la kugawa likes humu JF.Mmmhhh
Huyo sio robot kweeliii?!
YaaniHata mimi nimewaza hivyo, hilo jamaa ni lirobot la kugawa likes humu JF.
πππ hivi kuna uzi wake wowote ambao ashawahi kuuanzisha??Yaani
Hata mumuite vipi hacomment kabisaa, atapita atatoa like basi!! Mimi naamini ni robot
Sijui kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23] hivi kuna uzi wake wowote ambao ashawahi kuuanzisha??
Sidhani, tungeuona tu.Sijui kwa kweli
AiseeSidhani, tungeuona tu.
Aisee