Nakuamini mimi jamaniKabisaa, niamini mimi.
ππsawa mamaa!Nakuamini mimi jamani
Kuna yule jamaa alikua anacomment kila uzi "Vitunguu swaum" sjui bado yupo?
Kuna mwingine kwenye nyuzi za Love connect ana comment "chura ipo?" "Awe na chura"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie notifikesheni ya likes niliitoa, kupunguza msongamano. NImeacha ya watu walio ni quote au kuni mention
Joanah. Bado unaandika vile vimeseji vya mkono ulivyokuwa unaweka kule kwenye uzi wa kuselfika? Vilikuwa vinanifurahisha sana. Siku ukiweka tena nitag please.Mie pia
Iko ya tag na quote tu
Joanah. Bado unaandika vile vimeseji vya mkono ulivyokuwa unaweka kule kwenye uzi wa kuselfika? Vilikuwa vinanifurahisha sana. Siku ukiweka tena nitag please.
Hepi niu yia [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijaandika muda kweli
Hebu niandike sa hivi nikutag [emoji4][emoji4][emoji16]
Hapi niu yia tu yu dia SHIMBA YA BUYENZE
Alikuwa Anaitwa steveach dah simuoni kwskweliNimemkumbuka mno mzee wa vitunguu Swaumu alikuwa anatumia jina la Stive Each [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app