OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Alizaliwaje dec 05 halafu birthday yake iwe leo dec 25?Nop! Ni 26 note; Emanuel Arnold Okwi alizaliwa December 05, 1992. Kwa mantiki hiyo; mshambiaji huyo wa kimataifa wa Uganda amefikisha umri wa miaka 26 kwa sasa.
Alizaliwaje dec 05 halafu birthday yake iwe leo dec 25?
Ni kawaida wachezaji wa kiafrica kudanganya umri Okwi ana 32+ Kager 34+ lakini kama wanafanya majukumu yao haina shidaNi 25
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani Africa raha sana.Miaka ya Okwi Itakuwa iliganda Kama ya Madame Wema Sepetu ambae mpaka leo anaadhimisha kutimiza Miaka 26 Kwa Miaka nane Mfululizo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaani Africa raha sana.
Tutaweka Carbon 14 ya mifupa kujua umri wake halisi.
Kuna haja ya Okwi kupelekwa pale, maana si kwa kutudanganya kuwa Kaseja, Bobani wanamzidi Okwi kwa gap kubwa hivo.Tayari MOI pale Muhimbili wana machine hizo Na Mpango wa awali nimeskia wanaanza Na Watumishi wa Umma kuhakiki Umri
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Tangu nasoma hadi namaliza chuo okwi ana miaka 28....yupo.kama ngasa vilee