Hongera Mshana Jr

Hongera Mshana Jr

Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila nipe mbinu ya kumiliki pesa na kujikinga na wachawi[emoji23][emoji23]
[emoji1545] Bundakwetu [emoji817][emoji818] hiyo ya pili tiba yake ni hiyo ya kwanza [emoji23]
 
Huwa nasikia habari ya chumvi kuwa Ni Tiba.

Mimi huwa na tabia ya kuogelea maji ya bahari karibia kila siku coz nafanya mazoezi ufukwe wa bahari ya Hindi kila asubuhi. Chumvi ya bahari ni tiba?

Mshana Jr

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tiba nzuri sana ndio maana vijana huwa wakikataliwa na mademu ana akipata mikosi hushauriwa akaogee maji ya bahari [emoji3]
 
Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila nipe mbinu ya kumiliki pesa na kujikinga na wachawi😂😂
Uliponianzishia Thread kama hivi ( ya huyu ) Majuha ( Fools ) haraka sana walikushambulia kuwa hii ID yako ni yangu ( yaani ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) na kwamba Nina IDs Milioni hapa JamiiForums.

Mbona hapa kwa Mshana Jr hujashambuliwa nao na hawasemi kuwa Wewe ni Yeye Mshana Jr na kwamba Kajianzishia Thread ili kutafuta Sifa na Umaarufu?

Haya akina OKW BOBAN SUNZU na Wenzako mbona hamjitokezi katika Uzi huu na kusema kuwa huyu Bundakwetu ni Mshana Jr ila Kwangu GENTAMYCINE upesi sana mliibuka kusema hilo?

Wapuuzi wakubwa nyie mtaalaanika.
 
Achana nao wivi unawasumbua mkuu
 
Back
Top Bottom