Hongera Mshana Jr

[emoji1545] Bundakwetu [emoji817][emoji818] hiyo ya pili tiba yake ni hiyo ya kwanza [emoji23]
 
Tiba nzuri sana ndio maana vijana huwa wakikataliwa na mademu ana akipata mikosi hushauriwa akaogee maji ya bahari [emoji3]
 
Uliponianzishia Thread kama hivi ( ya huyu ) Majuha ( Fools ) haraka sana walikushambulia kuwa hii ID yako ni yangu ( yaani ni Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) na kwamba Nina IDs Milioni hapa JamiiForums.

Mbona hapa kwa Mshana Jr hujashambuliwa nao na hawasemi kuwa Wewe ni Yeye Mshana Jr na kwamba Kajianzishia Thread ili kutafuta Sifa na Umaarufu?

Haya akina OKW BOBAN SUNZU na Wenzako mbona hamjitokezi katika Uzi huu na kusema kuwa huyu Bundakwetu ni Mshana Jr ila Kwangu GENTAMYCINE upesi sana mliibuka kusema hilo?

Wapuuzi wakubwa nyie mtaalaanika.
 
Achana nao wivi unawasumbua mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…