Hongera Msindima kwa BabyGirl

PJ, ukiona hivyo ujue ameanza safari za kericho!!
Aisee,
Tulikaa kama kamati ya matumizi na kumpiga marufuku kufanya hizo safari!...sasa nashangaa leo naanza kuitwa shemegi!...sijaelewa ati!
 
Ohhh hongera zake.
Azidi kubarikiwa pamoja na kabinti kake.
 
hongera sana usisahau kumvisha binti yetu shanga ilikutengeneza figure
JF msinishambulie
 
Hongera Msindima.Mwenyezi Mungu awajaalie wewe na mtoto afya njema.
 
Hongera sana. Mungu awape afya njema!
 


We PJ hiyo tarehe mbona bado haijafika? au ulimaanisha 30/10/2011?.....but Hongera kwa mwana JF mwenzetu
 
We PJ hiyo tarehe mbona bado haijafika? au ulimaanisha 30/10/2011?.....but Hongera kwa mwana JF mwenzetu
Exactly mkuu, nilimaanisha 30/10...si unajua tena kupagawa?, nimesha'edit, nashukuru kuweka sawa!
 
Hongera sana Msindima............tunakuombea afya njema wewe, mtoto bila kumsahau baba yao. Mungu awalinde na kuwabariki.
 
pamoja na hongera, ningependa kukumbusha kuwa hatua uliyofikia ndio mwanzo wa safari kubwa iliyoko mbele yako. Kazi ni kuhakikisha babygirl anapata matunzo stahiki, ili aje kuwa mwema huko mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…