Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Wengi tulimuonya mo kuwa aache kufanya njia za kihuni kwa kutaka kuimiliki Simba kilazima kwa kuandika check kubwa tofauti na uhalisia kwenda kwenye club ili baadae aje aichukue Simba kwa njia za kihuni

Tunajua alikuwa akitumia wanasiasa tena wengine viongozi serkalini kutaka kutumia njia haramu kuitaifisha club

Nampongeza mwenyekiti wa Simba ndugu nkwambi kushtukia kuwa anaingizwa mkenge na mo pamoja na kibaraka wa mo fisadi magori

Wengi walikuwa wanamuona Mzee kilomoni kama mropokaji hawajui yule ni mtumishi wa serkali anasimamia maslahi ya wananchi na serkali

Tulimuonya Mo kuwa kwa huu ujanja ujanja wako kwa Simba utaondoka kwa aibu

Tulishasema kuwa Mo acha uhuni kama kweli unataka kuwekeza Simba fuata kanuni
Tunaendelea kukushauri acha kujifanya innocent unapokuwa unaongea na waandishi wa habari huku nyuma ya pazia unawatisha watu

Fuata kanuni uwekeze Simba acha kutumia mashsbiki mbumbumbu kupata huruma hiyo haitakusaidia sheria haiitaji huruma
S
 
Huu uzi utapata reply 2 tu ya kwanza hii ya pili wewe utanireply mimi
 
Usiseme afate utaratibu sema ajiondoe, manake unaonekana kama bado unamhitaji!! Tutafika nchi ya ahadi 20100
 
Chelsea au manchester unted zina milikiwa na wawekezaji wangapi?

huu mchezo wa waziri na kilomoni ndio unawafanya watanzania washabikie timu za ulaya.

ningekua Mo ningeachana na uwekezaji ningedai pesa zangu zote tangu niwekeze alafu tuone mwisho wake.
 
Mo ndio anatakiwa adaiwe amejinufaisha kupitia club na club haijapata kitu
Chelsea au manchester unted zina milikiwa na wawekezaji wangapi?

huu mchezo wa waziri na kilomoni ndio unawafanya watanzania washabikie timu za ulaya.

ningekua Mo ningeachana na uwekezaji ningedai pesa zangu zote tangu niwekeze alafu tuone mwisho wake.
 
Wengi tulimuonya mo kuwa aache kufanya njia za kihuni kwa kutaka kuimiliki Simba kilazima kwa kuandika check kubwa tofauti na uhalisia kwenda kwenye club ili baadae aje aichukue Simba kwa njia za kihuni

Tunajua alikuwa akitumia wanasiasa tena wengine viongozi serkalini kutaka kutumia njia haramu kuitaifisha club

Nampongeza mwenyekiti wa Simba ndugu nkwambi kushtukia kuwa anaingizwa mkenge na mo pamoja na kibaraka wa mo fisadi magori

Wengi walikuwa wanamuona Mzee kilomoni kama mropokaji hawajui yule ni mtumishi wa serkali anasimamia maslahi ya wananchi na serkali

Tulimuonya Mo kuwa kwa huu ujanja ujanja wako kwa Simba utaondoka kwa aibu

Tulishasema kuwa Mo acha uhuni kama kweli unataka kuwekeza Simba fuata kanuni
Tunaendelea kukushauri acha kujifanya innocent unapokuwa unaongea na waandishi wa habari huku nyuma ya pazia unawatisha watu

Fuata kanuni uwekeze Simba acha kutumia mashsbiki mbumbumbu kupata huruma hiyo haitakusaidia sheria haiitaji huruma
S

Huo ni wivu wa kishamba kwani mo amekuwa na timu kwa miaka mingap? Hiyo miaka mingine timu ilikuwa chini ya nani? Mpaka makao makuu ya club kulikuwa hakuna umeme
 
Wengi tulimuonya mo kuwa aache kufanya njia za kihuni kwa kutaka kuimiliki Simba kilazima kwa kuandika check kubwa tofauti na uhalisia kwenda kwenye club ili baadae aje aichukue Simba kwa njia za kihuni

Tunajua alikuwa akitumia wanasiasa tena wengine viongozi serkalini kutaka kutumia njia haramu kuitaifisha club

Nampongeza mwenyekiti wa Simba ndugu nkwambi kushtukia kuwa anaingizwa mkenge na mo pamoja na kibaraka wa mo fisadi magori

Wengi walikuwa wanamuona Mzee kilomoni kama mropokaji hawajui yule ni mtumishi wa serkali anasimamia maslahi ya wananchi na serkali

Tulimuonya Mo kuwa kwa huu ujanja ujanja wako kwa Simba utaondoka kwa aibu

Tulishasema kuwa Mo acha uhuni kama kweli unataka kuwekeza Simba fuata kanuni
Tunaendelea kukushauri acha kujifanya innocent unapokuwa unaongea na waandishi wa habari huku nyuma ya pazia unawatisha watu

Fuata kanuni uwekeze Simba acha kutumia mashsbiki mbumbumbu kupata huruma hiyo haitakusaidia sheria haiitaji huruma
S
Uzuri waswahili wote wakina Kilomoni ni njaa tupu uwezo wa kununua hisa hawana bado Mo na familia yake watagawana hizo hisa 49% tuona Mwakyembe anakuja na lipi tena
 
Yanga mumeshindwa uwanjani mumeamua kutumia dola kuishinda simba kama CCM inavyotumia dola kuua upinzani.
 
Uzuri waswahili wote wakina Kilomoni ni njaa tupu uwezo wa kununua hisa hawana bado Mo na familia yake watagawana hizo hisa 49% tuona Mwakyembe anakuja na lipi tena
Wewe mwenye shibe unamiliki hisa ngapi mkuu. Au na wewe ni walewale wapiga kelele.
 
Chelsea au manchester unted zina milikiwa na wawekezaji wangapi?

huu mchezo wa waziri na kilomoni ndio unawafanya watanzania washabikie timu za ulaya.

ningekua Mo ningeachana na uwekezaji ningedai pesa zangu zote tangu niwekeze alafu tuone mwisho wake.
Lakini MO aliwahi kuwekeza African Lyon akashindwa, akaidhamini Singida united akashindwa kwa kuwa hizi hazina majengo. Sasa kawekeza Simba ataweza? Au anataka tu hati ya jengo akopee benki? Mi naona waziri yuko sahihi wawekezaji wawe zaidi ya watatu.
 
Utajiri wa MO ni sh ngapi na yale majengo ya old fashion ni sh ngapi? Mo anataka kujua mali za simba coz hizo 50% za hisa ni mali sasa je hizo mali ziko wapi? Mnataka yy aweke ela je nyie mnaweka nn?
 
Back
Top Bottom