Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

Simba brand .....Ni mtaji tosha
Utajiri wa MO ni sh ngapi na yale majengo ya old fashion ni sh ngapi? Mo anataka kujua mali za simba coz hizo 50% za hisa ni mali sasa je hizo mali ziko wapi? Mnataka yy aweke ela je nyie mnaweka nn?
 
Simba brand .....Ni mtaji tosha

Nyie ndio hua mnafanya watu wawe maskini wa mawazo, brand hata uwanja haina? Brand makao makuu hata umeme hakuna? Unajua brand ww? Brand gani jezi yote ina jina la azam tu?
 
Mkuu Simba ni Mali ya wanachama haiwezi kumilikiwa kizembe na MTU mmoja
We omba uhai utaamini nachokwambia
Huo ni wivu wa kishamba kwani mo amekuwa na timu kwa miaka mingap? Hiyo miaka mingine timu ilikuwa chini ya nani? Mpaka makao makuu ya club kulikuwa hakuna umeme
 
Hisa sio kugawana Mo anatakiwa akae pembeni mchakato wa hisa unawekwa mezani
Waje watu tofauti wenye nia ya kuwekeza
Uzuri waswahili wote wakina Kilomoni ni njaa tupu uwezo wa kununua hisa hawana bado Mo na familia yake watagawana hizo hisa 49% tuona Mwakyembe anakuja na lipi tena
 
Mwakyembe ni mwanasheria yule hajakurupuka
Acha mashabiki wasiolewa wapige kelele
 
Tunataka aweke pesa kwasababu tayari anafaidika na Simba kwa kutangaza biashara zake
Kama haweki pesa akae pembeni

Utajiri wa MO ni sh ngapi na yale majengo ya old fashion ni sh ngapi? Mo anataka kujua mali za simba coz hizo 50% za hisa ni mali sasa je hizo mali ziko wapi? Mnataka yy aweke ela je nyie mnaweka nn?
 
Basi kijana utakuwa na uelewa mdogo sana
Hivi unajua maana ya brand?
Nyie ndio hua mnafanya watu wawe maskini wa mawazo, brand hata uwanja haina? Brand makao makuu hata umeme hakuna? Unajua brand ww? Brand gani jezi yote ina jina la azam tu?
 
Wawekezaji walikuwa wengi tu sema huyu alitumia janja janja kushinda hisa
Twende na Kilomoni hakuna ujanjaujanja hapa, mzee bakhresa alitaka kuwekeza 50bn, akamkatizia mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…