Hongera Mwakyembe timu haiwezi kumilikiwa kwa njia za panya

Azam inakua vizuri sana toka ianzishwe hakuna shaka kwamba kwa club mpya amejitahidi sana
Huko kwenye timu yake ya azam amewekeza ngapi? Si aende yanga
 

Ligi yenyewe haina mwekezaji ndio aje simba? Why wasiende yanga
 
Tanzania tuna safari Ndefu ya kufanikiwa afcon, chan au World Cup. Hii migogoro ya Yanga na simba ni ya kupokezana na Ina historia ndefu ( kwa Yanga ni 1976 na 1998). Viongozi , wanachama na wadhamini kila mtu anagombania maslahi yake sio ya kuendeleza soka na mafanikio ya klabu husika.
 
. Viongozi , wanachama na wadhamini kila mtu anagombania maslahi yake .

Tatizo ndio hilo mwekezaji anaangalia faida zake,wanachama nao wanawaza tofauti

Wote hawataki kufuata sheria
 
Kila nikikumbuka miaka tuliosota kwa kejeli bila ubingwa,sijui serikali ilikuwa wapi,sijui huyo aliotaka kuweka bilion 50 ( kwa mujibu wa reply nilizoona)alikuwa wapi,sijui hao wanaoitakia mema club walikuwa wapi? Mo kuingia TU,kombe miaka miwili,na robo fainali Africa! Timu imeng'aa Mara Mo kawa mwizi [emoji31] Mo kawa anaitumia club ili afaidike[emoji31][emoji26] Watz tuna roho za kichawi Sana! I wish Mo aondoke tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…