Hongera Mwalimu Eymael kwa kupata jiko

Joined
Jan 21, 2018
Posts
35
Reaction score
33
Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Luc Eymael leo amefunga ndoa ya kimya kimya na mpenzi wake Patricia Abbruzzese nchini Afrika Kusini kutokana na mlipuko wa homa ya virusi vya Corona.

Eymael amesema ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Harre nchini humo lakini ilikuwa binafsi kwakua hakuruhusiwi mikusanyiko yoyote.

Kocha huyo ameiambia Wapendasoka kuwa baada ya kupata nafasi katika kipindi ligi imesimama akaona amalize kabisa suala la ndoa.

"Ni kweli nimefunga ndoa lakini ilikuwa ni binafsi kwakua kuna mlipuko wa virusi vya Corona, tulienda kanisani tu tumemaliza tunashuru," alisema Eymael

HONGERA MWALIMU EYMAEL KWA KUPATA JIKO!

#SISI NI TANZANIA MPYA
 
Kuna video nimeiona nimecheka sana, jamaa kajifanya Harmonize huko Instagram akamtongoza demu, siku ya kukutana alipigwa na nywele zake za njano mi mbavu sina. Hii Bongo hii ni comedy tupu.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mkuu itume pm
Kuna video nimeiona nimecheka sana, jamaa kajifanya Harmonize huko Instagram akamtongoza demu, siku ya kukutana alipigwa na nywele zake za njano mi mbavu sina. Hii Bongo hii ni comedy tupu.

@YoungJigger
 
Kuna video nimeiona nimecheka sana, jamaa kajifanya Harmonize huko Instagram akamtongoza demu, siku ya kukutana alipigwa na nywele zake za njano mi mbavu sina. Hii Bongo hii ni comedy tupu.
Hyo ni commedy ya binti kigoma , ni fiction no reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…